Msanii wa muziki hapa tanzania nasib abdul ama diamond amezindia remix ya ngoma ya my number one kwa mara ya mwanzo mbele ya macho ya watoto waishio katika mazingira magumu dar es salaam.
Ngoma hiyo ambayo imegongwa nchini nigeria chini ya usimamizi wa kampuni ya nigeria na south africa kupitia producer clearence peter.
Mwana muziki huyo diamond ameigonga remix hiyo pamoja msanii mwengine kutoka nchini humo.
Tarehe 25 mwezi huu mchana diamond atakuwepo pale ukumbi wa leaders club mwanza.
Peace and blessing for god with you . And hoping to you are fine my dear visitor. Continued to every time. Au wasiliana na mimi kupitia +255777583252
Tuesday, 24 December 2013
Thursday, 19 December 2013
MSANII REDSAN AGONGA WIMBO MPYA NA ALIKIBA
Msanii redsan amegonga wimbo mpya na aliy kiba katika studio za homeboyz kenya.
Msanii huyo amegonga wimbo huo kupitia kwa produce wake sappy.
Producer sappy ameshare picha ya aliy kiba, redsan na sappy mwenyewe katika mtandao wa google ila
mimi sikuweza kuiweka hapa picha hiyo na samahani sana mpendwa msomaji.

Tuesday, 17 December 2013
MWANAMKE MJAMZITO INDIA APATA 'MISCARRIAGE' NA KUPOTEZA WATOTO KUMI.
Mwanamke mmoja raiya wa india aitwae anjua amejifungua mimba ili haribika njiani na kupoteza watoto kumi kwa kifo.
Kwa mujibu wa gazeti la indian express limesema kuwa mwanamke huyo alijifungua njiani wakati alipo kuwa akiwahi hospitalini nakujifungua njiani watoto tisa kisha mtoto mmoja wa mwisho kujifungua hospitalini.
Kwa mujibu wa madaktari wamesema kuwa mume wa mwanamke huyo alikuja hospitali akiwa na kitamba kilicho viringwa na ndani mkiwa na watoto tisa walio fariki.

Sunday, 15 December 2013
HAYATI NELSON MADIBA MANDELA AZIKWA
Raisi wa mwanzo na aliyekuwa shujaa wa afrika ya kusini hayati NELSON RIHLAHLA MADIBA MANDELA amezikwa jana kijijini kwao QUNU.
Maelfu ya wananchi na viongozi wa ngazi tofauti duniani wamehudhuria katika mazishi hayo.
Hayati nelson mandela alizaliwa mnamo mwaka 1918 huku kijijini kwao QUNU.
Raisi mandela alifungwa kwa takribani miaka 27.
Miaka 5 kati ya hiyo alifungwa katika gereza la posmo.
Na miaka miwili alifungwa katika gereza la paarl.
Na miaka iliyobakia 20 alifungwa katika kisiwa cha RUBBEN ISLAND akibanja mawe na kokoto.
Raisi mandela amewahi kuandila kitabu mashuhuri sana kiitwacho LONG WALK TO FREEDOM.

Saturday, 14 December 2013
MEL B KULA SIKU KUU IKULU KWA PAUL KAGAME
Mwana muziki wa new york Mel b mwaka huu anatarajia kula siku kuu ya christmas ikulu kwa raisi wa uganda PAUL KAGAME.
Amesema mwaka jana amekwenda kula na kufurahia siku kuu hiyo nchini Austraulia.
Mwaka huu ameupata mwaliko huo kupitia kwa watoto wawili wa bwana kagame jijini new york ama NY.
Amesema mwaka jana amekwenda kula na kufurahia siku kuu hiyo nchini Austraulia.
Mwaka huu ameupata mwaliko huo kupitia kwa watoto wawili wa bwana kagame jijini new york ama NY.
Monday, 9 December 2013
20% KURUDI KWA MAN WALTER
Msanii na mshindi wa tunzo tano za kilimanjaro mwaka 2011 "abass kinzasa" a.k.a "twenty parcent".
Amesema amependa kurudiana na producer wake huyo kwa ajili ya kuwaridhisha washabiki na jamii nzima.
Pia 20% amesema kuwa amesema ametaarisha ngoma yake mpya iitwayo "subira yavuta kheri" anatarajia kuitoa hivi karibuni.

Friday, 6 December 2013
MWILI WA NELSON MANDELA KUZIKWA HADI TAREHE 15 DECEMBER.
Raisi wa afrika ya kusini (SOUTH AFRIKA) jacob zuma ametangaza kuwa mwili wa hayati nelson rihilahlahla mandele utazikwa hapo tarehe 15 december katika kijiji cha qunu wilayani estern cape.
Thursday, 5 December 2013
New song: mumbi kutoka kenya ft fadhilee itulya
Mwana muziki kutoka kenya aitwad mumbi amepiga ngoma yake mpya iitwayo the end ikimshirikisha fadhilee itulya ndani yake download uone ubora wake tubidy.mobi
RAISI WA ZAMANI AFRIKA YA KUSINI (SOUTH AFICA ) AFARIKI DUNIA
Aliye kuwa raisi wa zamani na wa mwanzo afrika ya kusini nelson mandela amefariki dunia jana ya alkhamis tarehe 5 december 2013.
Nelson mandela amewahi kushinda tunzo ya nobel, na kutambulika sana afrika nzima.
Kwa mujibu wa taarifa iliyo tolewa na raisi wa sasa nchi hiyo jacob zumma amesema raisi mstaafu mandelea alilazwa kwa kipindi cha miezi mitatu kwa kusumbuliwa na ugonjwa wa mapafu.
Pia amesema nchi hiyo imepata majonzi makubwa mno kwa kuondokewa na mtu muhimu kama huyo.
Nelson mandela anakumbukwa kwa mambo tofauti likiwemo la kuondosha utumwa na kuleta uhuru nchini humo.
Pia kuondosha ubaguzi wa rangi.
Mungu amlaze mahali pema.raisi mandela amefariki akiwa na miaka 95.
Chanzo BONGO5/BBC NA CNN.

Tuesday, 3 December 2013
Ben pol kutaka kurudi dodoma kufanya research ya mziki wa asili
Msanii na mkali wa R&B hapa nchini tanzania ben pol amesema anataka kurudi dodoma ili kufanya research ya mziki wake wa asili.
Msanii huyo ameeleza kuwa anataka kwenda dodoma kwa ajili ya kufanya show kisha kubaki huko huko ili kutimiza research yake hiyo.
Msanii huyo ameeleza kuwa anataka kwenda dodoma kwa ajili ya kufanya show kisha kubaki huko huko ili kutimiza research yake hiyo.
MPIRA UMEMALIZA KATIKA UWANJA WA FURAHA
Dakika 90 +4 zimemalizika katika uwanja wa furaha nchini kenya ambapo pambano kali lilipigwa kati ya kenya & zanzibar heroes.
Mpira huo umemaliza baada ya timu ya kenya kuichapa timu taifa ya zanzibar magoli mawili kwa sufuri 2-0 .
Magoli ya timu ya taifa ya kenya au harambe stars yalipachikwa wavuni mchezaji AIDO katika dakika ya 5 ya mchezo kupitia penanti baada ya beki wa zanzibar kumchezea madhambi mchezaji wa kenya.
Na goli la pili likipachikwa na ALLEN WANGA katika dakika ya 56 ya mchezo matokeo hayo yameifanya timu ya harambe stars kusonga hatua ya robo fainali huku zanzibar heroes na south sudan kurudi makwao.

Monday, 2 December 2013
MFALME WA RHUMBA CONGO AAGA DUNIA
aliekuwa gwiji wa rumba ''TABU LEY ROCHEREAU'' ameiaga dunia huko nchini ubelgiji.
Mwana muziki huyo raiya wa DRC congo ambae ni mfalme wa tasnia ya rumba nchini humo, tabu ley ambae anasemekana kuzaliwa katika kipindi cha utawala wa wabelgiji mwaka 1937 au 1940.
Mwana muziki huyo ambae alifariki akiwa na umri wa miaka 76 alifariki jumamosi huko ubelgiji.
Tabu ley ambae alianza kuugua tangu mwaka 2008 kwa ugonjwa wa kiharusi.
ROSE NDAUKA
Msanii wa tasnia ya uigizaji nchini "ROSE NDAUKA" amesema kuwa anataka kujipa likizo ya kuacha kazi hiyo kwa kipindi cha mwaka mzima.
Ameyazungumza hayo msanii huyo katika gazeti la mwanaspoti nukuu ya kuwa "nataka kujipa likizo ya mwaka mmoja kwa sababu ya kuzongwa na kazi nyingi kwa mda huu ila nikimaliza nitaendelea na kazi hiyo".
Pia rose ndauka amesema anataka kutoka furaha kwa washabiki wake wa filamu pindi tu atakapo maliza kazi hizo

Saturday, 30 November 2013
MPIRA UMEISHA
Katika dakika 90 za mpira ambao umemaliza kati ya KENYA na washika mkia wa kundi SUDAN YA KUSINI kwa kenya kuibuka na ushindi wa 3-1.
Magoli ya kenya yamewekwa wavuni na...
Jacob keli
David Oiwo
Na huku lile la sudan likifungwa kwa free kick baada kutendeka madhambi nje ya kumi na nane ya kenya.
Magoli ya kenya yamewekwa wavuni na...
Jacob keli
David Oiwo
Na huku lile la sudan likifungwa kwa free kick baada kutendeka madhambi nje ya kumi na nane ya kenya.
KOCHA WA TAIFA STARS AMETANGAZA KIKOSI CHA WATU 32 WATAKAO IVAA KENYA.
Kocha wa taifa stars kim paulsen ametangaza kikosi cha watu 32 cha kuivaa kenya katika mchezo wa kirafiki utakaopigwa jijini dar es salaam.
Mchezo huo utapigwa disember, ikiwa inafuatana na michuano ya chalenji iliyo anza tarehe 28 november na kumaliza december huko kenya.
Mchezo huo utapigwa disember, ikiwa inafuatana na michuano ya chalenji iliyo anza tarehe 28 november na kumaliza december huko kenya.
MPIRA UMEMALIZA ZANZIBAR HEROS NA ETHIOPIA
Dakika 90 za mpira zimemaliza kati ya zanzibar heroes na ethiopia 3-1huku goli la kufutia machozi la zanzibar likitiwa wavuni na Issa,
Na magoli ya ushindi ya ethiopia yakipachikwa wavuni na
Asfan,barcelomgo pamoja na youtan kedebe matokeo hayo ya ushindi ya meifanya ethiopia kuwa kileleni kwa point 4, na zanzibar kuwa wa pili kwa point 3..huku sudan ya kusini wa kishika mkia wa kundi hilo.

Friday, 29 November 2013
ALIYEKUWA KAMISHNA WA POLISI KATIKA MIAKA YA 80 AFARIKI DUNIA
Ndugu kassim aliy kassim ambae alikuwa kamishna wa polisi katika miaka ya 80 amefariki dunia jana na kuzikwa kijijini kwao muyuni,
Ndugu kassim alizaliwa tarehe 10 december 1938, kisha mwaka 1972 alipata kazi ya serekali na akawa mkuu wa zima moto na kisha kuwa kamishna wa polisi hapo miaka ya 80, na kisha kufariki dunia tarehe 28/11/2013, marehemu ameacha vizuka wawili na watoto kumi na wawili.

Njia ya reli kenya
Kenya imezindua njia mpya rasmin ya reli itakayo unganisha kanda ya afrika mashariki na maziwa makuu ujenzi ambao utafadhili na serekali ya china.
Reli hiyo itaunganisha kenya, sudan ya kusini, kongo, na burundi.
Inasemekana mradi huo utagharimu ya bilioni 5.2 kiasi kikubwa cha pesa hizo zitatolewa na uchina.
Reli hiyo itaunganisha kenya, sudan ya kusini, kongo, na burundi.
Inasemekana mradi huo utagharimu ya bilioni 5.2 kiasi kikubwa cha pesa hizo zitatolewa na uchina.
(News) MABESTE hayupo tena B'HITZ MUSIC GROUP kuanzia sasa.
Baada ya msanii wa kike Venessa mdee kusema hayuko tena BHITS MUSIC GROUP. saa na msanii mwengine amejitokeza kusema na hayupo tena kwenye kundi la HITS GROUP ambae ni MABESTE:
Friday, 22 November 2013
KIUNGO WA KULIA WA ARSENAL THEO WALCOTT AREJEA TENA UWANJANI
Kiungo wa kulia wa arsenal theo walcott arejea tena uwanjani baada kuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi miwili kwa kuumia tumbo katika mechi dhidi ya stoke city hapo septembe 22, kiungo huyo mwenye umri wa miaka 24 nafasi ilikuwa ikitumiwa na serge Gnabry wakati wa matibabu yake.
Walcott huenda akarejea uwanjani jumaamosi hii wakati arsenal itakapo shuka uwanjani kukipiga na Southampton. Wenger amefurahia sana walcott kurudi uwanjani.
Walcott huenda akarejea uwanjani jumaamosi hii wakati arsenal itakapo shuka uwanjani kukipiga na Southampton. Wenger amefurahia sana walcott kurudi uwanjani.
Raisi goodluck jonathan hospitalini london
Raisi wa nigeria goodluck jonathani aendelea kupokea matibabu mjini london lakini wasaidizi wake wamesema kuwa hali yake sio mbaya sana. Raisi goodluck jonathan alikwenda mjini london kwa mkutano ingawa hakuhudhuria mkutano wenyewe, tungependa kuwa hakikishia kuwa raisi jonathan hayuko katika hali mbaya alisema msaidizi wake reuben abati. Alisema matibali anayo pokea raisi huyo mwenye umri wa miaka 56, ni ya kuzuia tu hali yake kutokuwa mbaya.
BABU SEYA MAISHA YAKE YOTE JELA: mahakama ya rufaa nchini tanzania imetupilia mbali ombi warufani wawili nguza viking na mwanaye, ambapo waliomba mahakama hiyo kufanya marejeo ya uamuzi wake wa awali wa kuwapata na hatia kama ambavyo hukumu dhidi yao ilivyo tolewa na mahakama ya hakimu mkazi kisutu tangu mwaka 2004. Nguza viking maarufu kama Babu seya, na watoto wake watatu walifungwa kifungo cha maisha jela kwa makosa ya ubakaji na kuwalawiti watoto wadogo. Kesi hiyo imewashtua mashabiki wa viking, nchini tanzania na afrika mashariki. Mwana muziki huyo mwenye kuimba nyimbo za Rhumba, ambae ni mzaliwa wa DRC, ameishi Tanzania kwa miaka mingi na kuwa na mashabiki wengi. Walionekana kuwa watulivu wakati majaji walipo tupilia mbali ombi lao kutaka hukumu yao kubatilishwa.
Wednesday, 20 November 2013
WASHAMBULIAJI WA WESTGATE WALIVO PENYA KENYA:
wanamgambo wanne wa kundi la Al-shabab walio husika na shambulizi la kigaidi la westgate nchini kenya , waliingia nchini kenya kupitia mpaka wa somalia.
Afisa mmoja kutoka nchi za magharibi alisema kuwa wana mgambo hao waliingia nchini kenya kupitia eneo ambalo hutumiwa na watu kuingia nchini kenya na kujenga kambi katika mtaa wa estleigh,mjini nairobi.
Mtaa huo una wahamiaji wengi wa somalia baadhi walio kimbia vita nchini huko.
Washambuliaji wanasemekana waliishi somalia ambako walipata mafunzo yao.
Hadi kufikia hivi sasa watuhumiwa wanne wamefikishwa mahakamani kwa shambulizi hilo.
Wanadaiwa na polisi kuwapa makaazi washambulizi hao mjini humo estleigh,
Salumby7@live.com
Tuesday, 19 November 2013
20 WAUAWA NCHINI SOMALIA:
watu ishirini wauawa nchini somalia katika shambulio la kujitoa muhanga katika kituo cha nchini somalia,
Shambulio hilo limetokea katika mji wa Beledweyne karibu na mpaka nchini somalia.
Mashuhuda wa tukio hilo wamesema kuwa gari lililo piga lango kuu la kituo cha polisi na kulipuka kabla ya watu wenye silaha kushambulia jengo hilo.
Taarifa zinasema kuwa wengi wamefariki pamoja na maafisa wa polisi.
Wapiganaji wa kiislamu wa Al-shabab wamekiri kuhusika na shambulio hilo.
Maafisa wa polisi nchini somalia wamesema mlipuko huo umesababisha majeruhi kadhaa.
Kamanda wa kundi la Al-shabab Mohammed Abu suleiman ameliambia shirika la AFP kuwa makomandoo wa Al-shabab ndio walio fanya shambulio hilo.
Mwezi wa september kundi la Al-shabab lilisema kuwa lilifanya shambulizi la kigaidi katika kituo cha biashara westgate nchini kenya ambapo watu 67 waliuawa.
Salumby7@live.com
Thursday, 14 November 2013
TANZANIA YAZIDI KUKAMATA MENO YA TEMBO:-
Kwa mara nyingine katika kipindi kisicho zidi wiki mbili,polisi nchini tanzania wamekamata shehena moja kubwa ya meno ya tembo ikiwa imefichwa katika container,bandarini Zanzibar,
Watu wawili wamekamatwa wakihusishwa na meno hayo,
Kwa mujibu wa kamishna wa polisi zanzibar,mussa Ali Mussa,amesema kuwa meno hayo yalikuwa yamehifadhiwa kwenye container la futi 40, yakiwa katika mifuko yaliyo hifadhi makombe ya baharini,tayari kwa kusafirishwa nje.
WAFUASI WA MOHAMMED MORSI WAFUNGWA:-mahakama moja nchini misri imewahukumu wafuasi wa raisi aliye n'golewa madarakani,mohammed morsi, kifungo cha miaka kumi na saba 17 jela,kila mmoja kwa kushiriki ghasia za mwishoni mwa mwezi october mwaka huu.
Watu hao walipatikana wakiwa na mashtaka kadha,ya kufanya mashambulio na kuujuhumu uchumi, vitendo vilivyo fanyika wakati wa maandamano yanayo ongozwa na wanafunzi, katika taasisi ya elimu ya juu, taasisi ya madhehebu ya kiislamu ya sunni ya al-Azhar.
Wednesday, 13 November 2013
NANI MWANA SOKA BORA ZAIDI AFRIKA:-majina ya wanao wania taji la BBC mwaka huu barani afrika,yametangazwa rasmin kupitia kipindi cha amka na BBC.*#YAYA TOURE:yupo katika orodha hiyo kwa mara ya tano mtawalia*#VICTOR MOSES na JOHN OBI MIKEL wa nigeria.*#JONATHAN PITRIPIA wa buki na faso,*#PIERRE-EMERIC,na AUBAMEYANG wa garbon. mshindi atakae teuliwa na wapiga kura wa kandanda hapo tarehe 25, saa 3 usiku kwa saa za afrika mashariki,ili kupiga kura tembelea tofuti hii:-http://bbc.co.uk/sport/0/football/african/ au kutumia namba ifuatayo +44 7786 20 20 08, *tuma 1 kumpiga pieree-emerc,aubameyang* tuma 2 kumpipia kura victor moses.* tuma 3 kumpigia kura john obi mikel,* tuma 4 kumpigia kura jonathan pitroipa* tuma 5 kumpigia kura yaya toure.***gharama ya ujumbe ni kulingana na kanuni za kimataifa***mshindi atatajwa jumatatu novemba 2 saa 2 na dakika thelathini na tano usiku.Saa za afrika mashariki katika kipindi cha BBC, (focus on africa) katika redio na runinga.
Tume ya katiba tanzania yapata pigo:-tume ya katiba ya tanzania yapata pigo ya mmoja kati ya wajumbe wake Dr.sengodo mvungi kufariki dunia nchini afrika ya kusini.ambapo alikuwa akitibiwa.* Dr. mvungi alipelekwa afrika kusini kwa matibabu zaidi baada ya kuvamiwa na watu walioaminika kuwa majambazi nyumbani kwake DAR ES SALAAM wiki iliyo pita,* kwa mujibu wa taarifa il iyo tolewa na katibu wa tume ya mabadiliko ya katiba Dr.Assaa Rashid kuwa dkt.mvungi alifariki dunia majira ya saa 8:30 mchana,kwa majira ya afrika kusini akiwa katika hospitali ya milpark.* marehemu dkt mvungi alisafirishwa siku ya alhamis november,7 2013, kupelekwa afrika ya kusini kwa matibabu akitokea kitengo cha mifupa muhimbili, (MOI)alipo kuwa amelazwa baada ya kuvamiwa nyumbani kwake.
Boko haramu kutajwa kuwa kundi la kigaidi:-Marekani imeamua kulitangaza na kulitambua rasmin kundi la waasi la kiislamu la boko haramu kama kundi la kigaidi la kimataifa africa, uamuzi huo umechukuliwa ambapo maafisa wa usalama wa marekani kueleza kuwa kutaka mdandao wa kibiashara na njia zote ili kudhibiti kupanuka kwa usafi rishaji wa fedha wa kimataifa,*hatua hii itaiwezesha marekani kwa mujibu wa sheria ya taifa kuto lisaidia kundi hilo kiislamu,ambapo lipo katika harakati za kulazimisha kuwepo kwa sheria za kutambulika kwake huko, kaskazini mwa nigeria. *pamoja na kundi hilo kuwepo nigeria lakini marekani imesema kuwa linashirikiana na mtaandao wa kimataifa wa al-qaidah,ambapo matawi yake yapo afrika magharibi na nchini mali pia.
Monday, 11 November 2013
Sunday, 10 November 2013
Muendesha mashtaka auawa libya:Mohammed al naas ameuawa kwa bomu lililokuwa limetegwa kwenye gari katika mji wa bandari wa darna mashariki mwa libya.
Wakati huo huo polisi wawili wamepigwa risasi katika mji wa Benghazi ambapo mji huo ni wa pili kwa ukubwa libya.
Karibu watu 10 wameripotiwa kujeruhiwa katika ghasia hizo.
Saturday, 9 November 2013
Cristiano Ronaldo apiga hat-trick ya kumi na tisa (19) kutua Real madrid,hat-trick 6 kati ya hizo amezifunga msimu huu, C.ronaldo amekamilisha hat-trick yake hiyo baada ya Real madrid kuitandika Real Sociedad kipigo cha magoli 5-1.
Magoli Real madrid yalipachikwa wavuni na:
C.ronaldo min 12',
Karim benzema min 18',
C.ronaldo (PG) min 26',
Sami khedira min 36',
C.ronaldo min 76'
Huku goli la pekee la Real Sociedad likipachikwa na Antonie Grienzmann dakika ya 61'
Msomalia akamatwa kuhusu ajali ya lampedusa: polisi nchini italia wamemkamata raiya mmoja wa somalia mwenye umri wa miaka 24.aliye husishwa na ajali ya lampedusa ambapo zaidi ya waafrika mia tatu walifariki katika baada ya boti walio kuwa wakisafiria kuzama katika kisiwa cha lampedusa.
Mwanamume huyo anae aminika kuwa mwanachama wa genge la wahalifu,anatuhumiwa kuwa ni miongoni mwa watu wanao endesha biashara haramu ya binaadam,
Alikamatwa kisiwani humo lampedusa.
Na mtu anae miliki boti hiyo Khaleed Bensalam raiya wa tunisia amekamatwa na sasa anazuiliwa mjini Sicily.
Friday, 8 November 2013
Timu ya azam imemtimua kocha wake: Sterwet hall raiya wa uingereza hapo juzi baada ya kumaliza mzunguko wa kwanza wa ligi tanzania, azam sasa inashika nafasi ya pili baada ya kwenda sare na mbeya city ya magoli 3-3 hapo juzi wote wakiwa na point 27 wakati bingwa mtetezi yanga akiongoza ligi hiyo akiwa na point 28,baada ya kuicha Oljoro JKT magoli 3-0..
Tuesday, 5 November 2013
Mende: tumewapiga M23 kazi imemalizika
Serekali ya jamuhuri ya kidemokrasia congo imesema majeshi yake kwa kushirikiano na kile kikosi maalum cha umoja wa kimataifa kilicho pewa uwezo wa kupambana na waasi wa M23,kimewapiga waasi hao katika ngome ya mwisho.
Msemaji wa serekali lambert mende amesema kuwa wapiganaji walio baki wa M23 wakawa wamekimbia, wamevuka mipaka au wameshajisalimisha, na inasadikiwa kiongozi wa waasi hao wa M23 sultan makenga ni miongoni wa walio vuka mipaka kwa kukimbia Rwanda au Uganda...
Mapigano yapamba moto DRC na wengi wakitoroka
Watu wote wa mji wa BUNAGANA kaskazini mwa DRC,wametoroka mapigano makali kati ya wanajeshi wa serekali na waasi wa M23,na inasemekana kuwa makombora yaliyorushwa na wanajeshi yamesababisha vifo vya watu wanne,majesi ya serekali siku ya jumatatu walikataa mazungumzo na waasi wa M23 waliokuwa wameahidi kusitisha vita, kwa ajili ya kufanya mazungumzo kati yao,
Karibu watu laki 8 wametoroka makwao tangu mgogoro huo kuanza hapo machi 2012...
Zaidi ya watu 30 wameuawa katika msafara wa harusi nchini nigeria, Shambulizi hilo lilitokea katika eneo ambalo hushuhudiwa visa vingi vya utovu wa usalama nchini humo,kati ya miji ya bama na banki katika jimbo la borno, mashariki mwa mji mkuu wa jimbo la maiduguru, Bwana harusi mwa waliouawa Kundi la wapiganaji wa boko haramu limekuwa likifanya mashambulizi ya mara kwa mara licha ya serekali kutangaza hali ya hatari kaskazini mashariki mwa nigeria mwezi mei..
Monday, 4 November 2013
Kesi dhidi ya mohammedi morsi imeakhirishwa muda mfupi uliopita,baada ya morsi kufikishwa mahakamani kwa madai ya kuchochea mauaji,
Morsi aliwaambia majaji kuwa kesi dhidi yake sio halali,kwani yeye angali ni raisi wa misri,na ambae amechaguliwa kidemokrasia,
Baada ya kutamka matamshi yake yaliyo sababisha kesi kuakhirishwa,na majaji kusema kuwa kesi imeakhishwa hadi tarehe 8 january
Wanachama wengine 14 wa ngazi ya juu wa kundi la muslim brotherhood pia wameshitakiwa na mashitaka kama hayo...
Gareth bale awa ni miongoni mwa wachezaji 23 wanaogombania tunzo ya fifa mwaka huu,bale mwenye umri wa miaka 24,amewahi kuifungia tottenham hotspurs magoli 26 msimu uliopita,na msimu huu kutua REAL MADRID kwa paundi milioni 85, anagombania tunzo hiyo pamoja na wachezaji maarufu wengine kama vile... C.ronaldo Leonel messi Andres iniesta Neymar Xavi Ozil Oscar n.k
BALE
Sunday, 3 November 2013
MADRID HISPANIA Mshambulia wa real madrid 'cristiano ronaldo' aipa madrid ushindi wa magoli 3-2 dhidi ya RAYO VALLECANO , magoli ya REAL MADRID yakipachikwa na mshambuliaji machachari C.RONALDO katika dakika ya "3" na "48" na bao la 3 KARIM BENZEMA dakika ya "31" na magoli ya RAYO VALLECANO yakipachikwa na JONATHAN VIERA katika dakika ya "53" na "55"...
Arsenal imeanza kumtia mbioni striker wa liverpool LUIS SUAREZ ameyaeleza hayo kocha Wa arsenal "wenger" baada ya kupata ushindi wa bao 2-0 dhidi ya liverpool ,mabao ya arsenal yaliandikwa na SANTI CARZOLA katika dakika ya "19" ya mchezo, na huku bao la pili likiandikwa na mshambuliaji machachari ARON RAMSEY katika dakika ya "59" ya mchezo, luis suarez huenda akatua arsenal dirisha dogo january...
Subscribe to:
Posts (Atom)