Sunday, 3 November 2013

Arsenal imeanza kumtia mbioni striker wa liverpool LUIS SUAREZ ameyaeleza hayo kocha Wa arsenal "wenger" baada ya kupata ushindi wa bao 2-0 dhidi ya liverpool ,mabao ya arsenal yaliandikwa na SANTI CARZOLA katika dakika ya "19" ya mchezo, na huku bao la pili likiandikwa na mshambuliaji machachari ARON RAMSEY katika dakika ya "59" ya mchezo, luis suarez huenda akatua arsenal dirisha dogo january...

No comments:

Post a Comment