Friday, 22 November 2013

Raisi goodluck jonathan hospitalini london

Raisi wa nigeria goodluck jonathani aendelea kupokea matibabu mjini london lakini wasaidizi wake wamesema kuwa hali yake sio mbaya sana. Raisi goodluck jonathan alikwenda mjini london kwa mkutano ingawa hakuhudhuria mkutano wenyewe, tungependa kuwa hakikishia kuwa raisi jonathan hayuko katika hali mbaya alisema msaidizi wake reuben abati. Alisema matibali anayo pokea raisi huyo mwenye umri wa miaka 56, ni ya kuzuia tu hali yake kutokuwa mbaya.

No comments:

Post a Comment