Monday, 4 November 2013

Kesi dhidi ya mohammedi morsi imeakhirishwa muda mfupi uliopita,baada ya morsi kufikishwa mahakamani kwa madai ya kuchochea mauaji, Morsi aliwaambia majaji kuwa kesi dhidi yake sio halali,kwani yeye angali ni raisi wa misri,na ambae amechaguliwa kidemokrasia, Baada ya kutamka matamshi yake yaliyo sababisha kesi kuakhirishwa,na majaji kusema kuwa kesi imeakhishwa hadi tarehe 8 january Wanachama wengine 14 wa ngazi ya juu wa kundi la muslim brotherhood pia wameshitakiwa na mashitaka kama hayo...

No comments:

Post a Comment