Wednesday, 13 November 2013

Tume ya katiba tanzania yapata pigo:-tume ya katiba ya tanzania yapata pigo ya mmoja kati ya wajumbe wake Dr.sengodo mvungi kufariki dunia nchini afrika ya kusini.ambapo alikuwa akitibiwa.* Dr. mvungi alipelekwa afrika kusini kwa matibabu zaidi baada ya kuvamiwa na watu walioaminika kuwa majambazi nyumbani kwake DAR ES SALAAM wiki iliyo pita,* kwa mujibu wa taarifa il iyo tolewa na katibu wa tume ya mabadiliko ya katiba Dr.Assaa Rashid kuwa dkt.mvungi alifariki dunia majira ya saa 8:30 mchana,kwa majira ya afrika kusini akiwa katika hospitali ya milpark.* marehemu dkt mvungi alisafirishwa siku ya alhamis november,7 2013, kupelekwa afrika ya kusini kwa matibabu akitokea kitengo cha mifupa muhimbili, (MOI)alipo kuwa amelazwa baada ya kuvamiwa nyumbani kwake.

No comments:

Post a Comment