Peace and blessing for god with you . And hoping to you are fine my dear visitor. Continued to every time. Au wasiliana na mimi kupitia +255777583252
Saturday, 9 November 2013
Msomalia akamatwa kuhusu ajali ya lampedusa: polisi nchini italia wamemkamata raiya mmoja wa somalia mwenye umri wa miaka 24.aliye husishwa na ajali ya lampedusa ambapo zaidi ya waafrika mia tatu walifariki katika baada ya boti walio kuwa wakisafiria kuzama katika kisiwa cha lampedusa.
Mwanamume huyo anae aminika kuwa mwanachama wa genge la wahalifu,anatuhumiwa kuwa ni miongoni mwa watu wanao endesha biashara haramu ya binaadam,
Alikamatwa kisiwani humo lampedusa.
Na mtu anae miliki boti hiyo Khaleed Bensalam raiya wa tunisia amekamatwa na sasa anazuiliwa mjini Sicily.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment