Wednesday, 13 November 2013

Boko haramu kutajwa kuwa kundi la kigaidi:-Marekani imeamua kulitangaza na kulitambua rasmin kundi la waasi la kiislamu la boko haramu kama kundi la kigaidi la kimataifa africa, uamuzi huo umechukuliwa ambapo maafisa wa usalama wa marekani kueleza kuwa kutaka mdandao wa kibiashara na njia zote ili kudhibiti kupanuka kwa usafi rishaji wa fedha wa kimataifa,*hatua hii itaiwezesha marekani kwa mujibu wa sheria ya taifa kuto lisaidia kundi hilo kiislamu,ambapo lipo katika harakati za kulazimisha kuwepo kwa sheria za kutambulika kwake huko, kaskazini mwa nigeria. *pamoja na kundi hilo kuwepo nigeria lakini marekani imesema kuwa linashirikiana na mtaandao wa kimataifa wa al-qaidah,ambapo matawi yake yapo afrika magharibi na nchini mali pia.

No comments:

Post a Comment