Tuesday, 5 November 2013

Mende: tumewapiga M23 kazi imemalizika Serekali ya jamuhuri ya kidemokrasia congo imesema majeshi yake kwa kushirikiano na kile kikosi maalum cha umoja wa kimataifa kilicho pewa uwezo wa kupambana na waasi wa M23,kimewapiga waasi hao katika ngome ya mwisho. Msemaji wa serekali lambert mende amesema kuwa wapiganaji walio baki wa M23 wakawa wamekimbia, wamevuka mipaka au wameshajisalimisha, na inasadikiwa kiongozi wa waasi hao wa M23 sultan makenga ni miongoni wa walio vuka mipaka kwa kukimbia Rwanda au Uganda...

No comments:

Post a Comment