Kiungo wa kulia wa arsenal theo walcott arejea tena uwanjani baada kuwa nje ya uwanja kwa muda wa miezi miwili kwa kuumia tumbo katika mechi dhidi ya stoke city hapo septembe 22, kiungo huyo mwenye umri wa miaka 24 nafasi ilikuwa ikitumiwa na serge Gnabry wakati wa matibabu yake.
Walcott huenda akarejea uwanjani jumaamosi hii wakati arsenal itakapo shuka uwanjani kukipiga na Southampton. Wenger amefurahia sana walcott kurudi uwanjani.
No comments:
Post a Comment