Tuesday, 5 November 2013

Zaidi ya watu 30 wameuawa katika msafara wa harusi nchini nigeria, Shambulizi hilo lilitokea katika eneo ambalo hushuhudiwa visa vingi vya utovu wa usalama nchini humo,kati ya miji ya bama na banki katika jimbo la borno, mashariki mwa mji mkuu wa jimbo la maiduguru, Bwana harusi mwa waliouawa Kundi la wapiganaji wa boko haramu limekuwa likifanya mashambulizi ya mara kwa mara licha ya serekali kutangaza hali ya hatari kaskazini mashariki mwa nigeria mwezi mei..

No comments:

Post a Comment