Thursday, 14 November 2013

TANZANIA YAZIDI KUKAMATA MENO YA TEMBO:- Kwa mara nyingine katika kipindi kisicho zidi wiki mbili,polisi nchini tanzania wamekamata shehena moja kubwa ya meno ya tembo ikiwa imefichwa katika container,bandarini Zanzibar, Watu wawili wamekamatwa wakihusishwa na meno hayo, Kwa mujibu wa kamishna wa polisi zanzibar,mussa Ali Mussa,amesema kuwa meno hayo yalikuwa yamehifadhiwa kwenye container la futi 40, yakiwa katika mifuko yaliyo hifadhi makombe ya baharini,tayari kwa kusafirishwa nje.

No comments:

Post a Comment