Raiya wa kigeni amekwamatwa na mafuvu ya binaadam nchini burundi.Guissepe favaro alikamatwa na mafuvu mawili katika uwanja wa ngege burundi,raiya huo wa italia ilikuja nchini burundi kwa ajili kazi nchini humo.kwa mujibu wa polisi wamesema mafuvu hayo yalitaka kusafirishwa hadi nchini Thailand.
No comments:
Post a Comment