Tuesday, 5 November 2013

Mapigano yapamba moto DRC na wengi wakitoroka Watu wote wa mji wa BUNAGANA kaskazini mwa DRC,wametoroka mapigano makali kati ya wanajeshi wa serekali na waasi wa M23,na inasemekana kuwa makombora yaliyorushwa na wanajeshi yamesababisha vifo vya watu wanne,majesi ya serekali siku ya jumatatu walikataa mazungumzo na waasi wa M23 waliokuwa wameahidi kusitisha vita, kwa ajili ya kufanya mazungumzo kati yao, Karibu watu laki 8 wametoroka makwao tangu mgogoro huo kuanza hapo machi 2012...

No comments:

Post a Comment