Thursday, 14 November 2013

WAFUASI WA MOHAMMED MORSI WAFUNGWA:-mahakama moja nchini misri imewahukumu wafuasi wa raisi aliye n'golewa madarakani,mohammed morsi, kifungo cha miaka kumi na saba 17 jela,kila mmoja kwa kushiriki ghasia za mwishoni mwa mwezi october mwaka huu. Watu hao walipatikana wakiwa na mashtaka kadha,ya kufanya mashambulio na kuujuhumu uchumi, vitendo vilivyo fanyika wakati wa maandamano yanayo ongozwa na wanafunzi, katika taasisi ya elimu ya juu, taasisi ya madhehebu ya kiislamu ya sunni ya al-Azhar.

No comments:

Post a Comment