Mapigano mapya yazuka nchini DRC wanajeshi wa serekali dhidi ya kundi la waasi la M23 huko pembezoni mwa mpaka wa uganda mapigano hayo yanadai kutokea kutokana na sababu kwamba wanajeshi wa serekali kutaka kuchukua maeneo yaliyomo mikononi mwa waasi hao..
No comments:
Post a Comment