Kenya imezindua njia mpya rasmin ya reli itakayo unganisha kanda ya afrika mashariki na maziwa makuu ujenzi ambao utafadhili na serekali ya china.
Reli hiyo itaunganisha kenya, sudan ya kusini, kongo, na burundi.
Inasemekana mradi huo utagharimu ya bilioni 5.2 kiasi kikubwa cha pesa hizo zitatolewa na uchina.
No comments:
Post a Comment