Muendesha mashtaka auawa libya:Mohammed al naas ameuawa kwa bomu lililokuwa limetegwa kwenye gari katika mji wa bandari wa darna mashariki mwa libya.
Wakati huo huo polisi wawili wamepigwa risasi katika mji wa Benghazi ambapo mji huo ni wa pili kwa ukubwa libya.
Karibu watu 10 wameripotiwa kujeruhiwa katika ghasia hizo.
No comments:
Post a Comment