Peace and blessing for god with you . And hoping to you are fine my dear visitor. Continued to every time. Au wasiliana na mimi kupitia +255777583252
Wednesday, 20 November 2013
WASHAMBULIAJI WA WESTGATE WALIVO PENYA KENYA:
wanamgambo wanne wa kundi la Al-shabab walio husika na shambulizi la kigaidi la westgate nchini kenya , waliingia nchini kenya kupitia mpaka wa somalia.
Afisa mmoja kutoka nchi za magharibi alisema kuwa wana mgambo hao waliingia nchini kenya kupitia eneo ambalo hutumiwa na watu kuingia nchini kenya na kujenga kambi katika mtaa wa estleigh,mjini nairobi.
Mtaa huo una wahamiaji wengi wa somalia baadhi walio kimbia vita nchini huko.
Washambuliaji wanasemekana waliishi somalia ambako walipata mafunzo yao.
Hadi kufikia hivi sasa watuhumiwa wanne wamefikishwa mahakamani kwa shambulizi hilo.
Wanadaiwa na polisi kuwapa makaazi washambulizi hao mjini humo estleigh,
Salumby7@live.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment