Wednesday, 1 January 2014

*SNURA AMSHUKURU WEMA KWA KUMUINUA KIMUZIKI*

msanii na muigizaji wa filamu hapa nchini tanzania snura amemshukuru wema sepetu kwa kumuinua kimuziki. Ameseme snura kuwa "namshukuru wema kwa kuniunua kimuziki ameweza kunipatia pesa katika wimbo wangu wa mwanzo uitwao "shoga ake mama" . Pia wema amensaidia katika mavazi ya show tofauti ambazo nazifanya hapa nchini. Snura na wimbo wake wa "majanga" umeweza kumpatia pesa nyingi zaidi katika show tofauti kuliko wimbo wake mpya ambao unaitwa "nimevurugwa". CHANZO: DOMO LANGU